KARIBU RAFIKI!!

 

Asante sana kwa sababu ulikuja kwa kisafiha yangu!

 

 

Mimi ninapenda historia ya inchi na ninajifunza historia kwa sarafu.

 

Kwahiyo, kama ukitaka, nitasarifu sarafu. Uona sarafu yangu hapa na kiingereza, hapa kifaransa, na hapa kiesperanto. Nitapeleki sarafu kihispana, asaa utapeleki sarafu ya nchi lako. Ninapeleki ndani ya barua.

 

Tazama foto ya sarafu ya nchi langu.

 

 

 

 

 

Back kwa kisafiha kwanza.

 

 

Barua pepe yangu.